Header

Beyonce ni mjamzito wa watoto mapacha

Beyonce ‘amebreak the internet’ kwa mara nyingine tena Jumatano hii. Awamu hii na tangazo kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha! Hii ni habari kubwa mno, hasa ukizingatia kuwa muimbaji huyo ni bingwa wa kuficha mambo yake binafsi. Tangazo lake hilo limevutia mamilioni ya likes na comments kibao kutoka kwa mashabiki wanaompongeza.

Rihanna ni miongoni mwa mastaa waliompongeza staa huyo:

so excited about this news!!!! Congratulations to you @beyonce and my big bro Jay!!!! ????

A photo posted by badgalriri (@badgalriri) on

Naye mama yake Beyonce ameandika:

WOWI don’t have to keep the secret anymore?I am soooo happy ❤️❤️God is so good❤️ twin blessings

A photo posted by Tina Knowles (@mstinalawson) on

Comments

comments

You may also like ...