Header

Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza wapata timu nchini Uganda

Wachezaji wa Zamani wa Klabu za Simba na Yanga Emmanuel Okwi  na Hamis Kiiza wote kutoka Uganda wamefanikiwa kupata klabu mpya za kuchezea.

WhatsApp Image 2017-02-01 at 05.46.50

Emmanuel Okwi ataungana na Klabu ya Sports Klabu Villa huku Hamis Kiiza akisajiliwa na Wakusanyaji wa Mapato wa Uganda URA zote za  nchini Uganda.

Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza wote walikuwa huru baada ya kumaliza mikataba yao kutoka kwenye mikataba ya Klabu za SonderjyskE ya Denmark na Freestate FC ya Afrika Kusini.

Comments

comments

You may also like ...