Header

Huu ndiyo muda wa Video ya wimbo wa ‘Marry You’ wa Diamond Platnumz na NE-YO itaoneshwa kwenye vituo vya Runinga leo

Leo Diamond Platnumz anaachia Video ya wimbo wake wa ‘Marry You’ ambao amemshirikisha NE-YO kutoka Marekani na hapa tumekuwekea ratiba kamili ya muda ambao video hiyo itaonekana.Muda umewekwa kwa masaa ya Afrika Mashariki

1. TRACE Africa:(South Africa)
Wednesday
• 02.43 AM
• 04.41 AM
• 07.07 AM
• 09.39 AM
• 12.11 PM
• 13.59 PM
• 15.52  PM
• 21.08 PM

Social Media Handles:
@TRACEAfrica_
#TRACEAFRICA
#MarryYouDN

2. TRACE Mziki (East African feed):
Wednesday
• 13.03 PM
• 15.48 PM
• 17.52 PM
• 19.56 PM
• 21.32 PM
• 23.55 PM

Social Media Handles:
@TraceMziki
#MzikiExclusive
#MarryYouDN
#TraceMziki

Comments

comments

You may also like ...