Header

Picha: Mapenzi ya The Weeknd na Selena Gomez yanoga nchini Italia

Wamekuwa wakitumia muda mwingi pamoja tangu wakiri hadharani kuwa wana uhusiano. Na sasa Selena Gomez, 24, alionekana akiwa mapumziko mjini Venice, Italia na mpenzi wake, The Weeknd, 26.

3CB4DE9B00000578-4178466-Lavish_accommodations_The_duo_arrived_in_Venice_from_Florence_wh-m-34_1485912118714

Wakiwa nchini humo, wawili hao hawakuona noma kuonesha namna wwanavyopendana. Wameonekana wakitoka kwenye hoteli ya kifahari na kupanda taxi na Selena anaonekana mwenye furaha kubwa.

3CB4DC3300000578-4178466-Water_taxi_The_unusual_method_of_transportation_is_really_the_on-a-15_1485913419403

Wawili hao waliwasili Venice wakitokea Florence ambako walikuwa wakitembea sehemu za vivutio. Wakiwa Venice, wamefikia Belmond Villa San Michele . Hiyo ni hoteli ambayo Kim na Kanye walikaa hapo siku ya harusi yao.

Vyumba kwenye hoteli hiyo kwa usiku mmoja hugharimu $4,000 hadi $7,000.

3CB4DE4B00000578-4178466-Fanfare_The_23_year_old_singer_blew_a_kiss_to_fans_as_they_took_-a-13_1485913419371

3CB4E15F00000578-4178466-European_chic_Selena_looked_sophisticated_and_relaxed_in_an_over-m-35_1485912142595

3CB4E54E00000578-0-image-a-29_1485910899337

3CB4E46700000578-4178466-Love_on_the_canal_Selena_Gomez_24_was_spotted_getting_into_a_wat-m-33_1485912079037

Comments

comments

You may also like ...