Header

‘Napokosekana kwenye muziki kuna Vitamin vinakosekana pia’ – Lord Eyes…

Kama uliwahi kudhani kuwa ukimya wa Lord Eyes kuna siku utasikia kaacha muziki au kaamua kupumzika inabidi uifute hiyo kauli kwa sababu yeye amesema kwake muziki unamhitaji na yeye anauhitaji Muziki.

loardKupitia XXL ya Clouds FM,Lord Eyes amesema >>‘Napokosekana kwenye muziki sijakosekana mimi,kuna vitu vimekosekana yaani muziki unanihitaji maana yake napokua sipo unakua kama una ulemavu hivi’ – Lord Eyes .

lordd‘Nilichogundua siwezi kuacha muziki kwa sababu nautegemea muziki na muziki unanitegemea mimi kwamba nisipotema keshokutwa Mc’s si tutawauguza naona tunawaguza kibao lakini mtu mzima narudi watapona’. – Lord Eyes.

Comments

comments

You may also like ...