Feb 2, 2017 at 07:30:00 AM
SHARE:
Ligi kuu soka England iliendelea usiku wa kuamkia leo kwa viwanja vitatu kuwaka moto,Mtanange kati ya Westham na Man City uliisha kwa wagonga nyundo yaani Westham kuchapwa 4-0,Stoke City 1-Everton 1
Ambapo kwenye mchezo huo mshambuliaji wa stoke Peter Crouch amefikisha goli la 100 kwenye EPL.Manchester United 0- Hull City 0
Hii inamaanisha kwamba hata mchezo unaokuja Man United ikishinda na City ikafungwa United inabaki palepale namba sita.Manchester City 4-0 West Ham
Huku mshambuliaji Gabriel Jesus alifunga bao lake la kwanza la Man City wakati timu hiyo ilipoicharaza West Ham katika uwanja wa London