Header

Mchungaji Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ atumia wimbo wa ‘Muziki’ wa Darassa kuhubiri kanisani

Mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la ‘Mzee wa Upako’ wa Kanisa la Maombezi la  (GRC) la jijini Dar es salaam,amekuwa gumzo mtandaoni wiki hii baaada ya kusambaa kwa video inayomwonyesha akiwaubiria watumishi wa kanisa lake kwa kutunia wimbo ‘Muziki’ wa Darassa.

Tazama uhondo hapa chini

 

Comments

comments

You may also like ...