Header

RC Paul Makonda ataja majina ya Kumbi za Starehe na Wasanii wanaojihusisha na Madawa ya Kulevya

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo ametaja majina ya Wasanii na watu Maarufu wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya na kumbi zinazohusika na uuzaji wa madawa hayo.

Akitaja kumbi hizo mbele ya Waandishi wa Habari amesema kumbi hizo ni Club ya Elements,George & Dragon na Q-Bar pia ametoa orodha ya wasanii wanaotakiwa kuripoti kesho Polisi.

Wasanii wanaotakiwa kuripoti kesho Polisi.

Wasanii wanaotakiwa kuripoti kesho Polisi.

Comments

comments

You may also like ...