Header

Darassa: Nahofia kuwaboa mashabiki wangu kwa tabia za ajabu

Hakika Darassa ni moja ya wasanii waliomaliza vyema mwaka 2016 na kuanza mwaka 2017 wakiwa bado wanazungumziwa hapa Bongo. Ngoma yake ya Muziki bado inafanya vizuri na kumfanya azidi kupiga pesa kupitia Ngoma hiyo.

Dizzim Online imepiga story na Darassa ili kujua ni kipi kinachomuogopesha haswa kubadilisha tabia aliyonayo kwa sasa na kuingia kwenye maisha ya starehe na yasioyofaa kwa jamii ikiwemo kuanza kutumia madawa kulevya.

“Mimi nimekuwa smart toka nakua. Najaribu kumantain vitu visizidi vikamboa yoyote ambae atakuwa kwenye mazingira yangu.Sidhani kama naweza nikawa na hiyo kitu ndani yangu,niko poa,”amesema Darassa.

Comments

comments

You may also like ...