Header

Billnass aahidi wimbo mpya kama video yake itafikisha Views Milion moja kwa muda mfupi..

Staa wa singo ya Mazoea Billnass leo kupitia page yake ya Instagram ameahidi kutoa ngoma mpya endapo tu video ya wimbo wake mpya wa Mazoea itatazamwa zaidi na zaidi na kufikia idadi ya watazamaji(Views) Milion Moja.

Video ya mazoea ya Billnass kupitia youtube mpaka sasa imetazamwa zaidi ya mara 535,010 Billnass kwenye instagram yake amewaomba watu waendelee kuitazama na kutoa ahadi hiyo >> Shukran Sana…Ndugu Zangu…..Sio Mbaya Kwa Week Mbili Hizi….Tuendelee Ku View Ikifika Mill hata Kesho Natoa Wimbo Mpya So Click that Link On My Bio….??? #supportMzikiMzuri #MAZOEA

Mazoea ni wimbo wa Billnass aliomshirikisha Mwana Fa  na ulitoka January 18 2017,inawezekana ukatengeneza historia nyingine kwa muimbaji huyo anaewakilisha label ya LFLG iliyo chini ya Mchafu Chakoma na Petit Man ‘Wakuache’.

Comments

comments

You may also like ...