Header

Country Boy aja na huduma ya kuuza Chakula.

Yawezekana ndoto za baadhi ya wasanii wengi ni kumiliki migahawa ya Chakula lakini huenda kinachosumbua ikawa ni mitaji au namna ya kuanza biashara hiyo rasmi.

Country Boy ameingia kwenye list ya Wasanii wa Bongo walioamua kuwekeza muda wao katika kutoa huduma ya Chakula na huduma hiyo ameipa jina la Country fast food delivery ambayo kazi yake ni kusambaza chakula kwa yoyote anaehitaji.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Country Boy ameandika >>’Inshaallah kesho Tunaanza Country Fast Food Delivery Msosi Heavy Kwaajili Yako Chenye Upishi Mzuri Na Smart Mapishi Ya Kinyumbani Kabisaa’

‘Kila Siku Ya Jumatatu-Jumamosi Kwa Shilingi 5000 Pamoja Na Usafiri Unaweza Kutoa Order Yako Popote Ulipo Utaletewa Kwa ? 0657066429 na 0758525545 au 0625597242 Kuanzia saa Sita Mchana Chakula Kinakua Tayari’

‘Karibu Sana Akamaliza kwa kutag akaunti ambazo unaweza kuagiza chakula na kukufikia’.

Afande Sele aitolea ufafanuzi kauli yake kuhusu Wasafi…

Comments

comments

You may also like ...