Header

Dogo Janja amtaja Msanii wa Kwanza atakae msaini kwenye Lebo yake

Msanii Dogo Janja kutoka kundi la Tip Top Connection amekuwa na Ndoto siku moja ya kuja kumiliki Lebo yake ya Muziki kama Wasanii wengine wakubwa wanavyofanya na msanii wa Kwanza aliyemtaja kumsaini kwenye Lebo yake atakuwa ni Young Killer.

Dogo Janja anaekonga nyoyo za mashabikli wake na wimbo wake wa ‘Kidebe’ kupitia kipindi cha FNL cha EATV amesema Young Killer ni msanii mkali  lakini anahangaika sana kutoboa hivyo angemsaini ili kufikia malengo yake.

Comments

comments

You may also like ...