Header

IGP: Jeshi la polisi linawachunguza wasanii waliohusishwa na madawa ya kulevya, hatua za kisheria zitachukuliwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amewasimamisha kazi askari 12 waliotajwa kwenye orodha ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya, na kudai pia wao, pamoja na wasanii waliotajwa wanachunguzwa.

Amedai kuwa baada ya uchunguzi kukamilika, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wote watakaopatikana kujihusisha na biashara hiyo haramu.

Wasanii waliotajwa ni pamoja na Vanessa Mdee, Chidi Benz, Wema Sepetu, Mr Blue, Recho, TID, Tunda (model) na wengine.

Comments

comments

You may also like ...