Header

Justine Bieber arudi tena Instagram..

Kwenye stori kubwa ambazo hutakiwi kukosa kufahamu za kwenye mitandao ni pamoja na hii ya kurejea kwenye mtandao wa Instagram kwa staa Justin Bieber ambapo baada ya kurejea ame-post video ikimuonesha akifanya tangazo la kampuni ya simu.

Kama kumbukumbu zako ziko vizuri Justine Bieber  alijitoa kwenye mtandao huo mwezi Agosti 2016, mtandao ambao yeye mwenyewe aliwahi kuuita ni wa kishetani na hawezi kurudi tena.

Let me see your #unlimitedmoves

A video posted by Justin Bieber (@justinbieber) on Feb 3, 2017 at 2:07pm PST

Inaelezwa kuwa sababu ya msingi ya yeye kujitoa ilikuwa ni kuchoshwa na kuandamwa na maneno ya watu juu ya uhusiano wake na mpenzi wake Sofia Richie, ambaye ni mtoto wa muimbaji Lionel Richie.

Comments

comments

You may also like ...