Header

Diamond Platnumz,Navy Kenzo washinda tuzo za HMA 2017 nchini Uganda

Jana usiku kulikuwa na sherehe za ugawaji wa Tuzo za Hipipo Music Awards (HMA) nchini Uganda na Kwenye Tuzo hizo kulikuwa na Wasanii kutoka Tanzania ambao walichaguliwa kuingia kwenye vipengele mbalimbali.

Navy Kenzo wakipokea Tuzo ya HMA 2017.

Na kwa upande wa Wasanii kutoka Tanzania walioibuka na ushindi wa Tuzo hizo ni Diamond Platnumz tuzo mbili kwenye vipengele vya Quinquennial Africa Music Vanguard Award na East Africa Best Video Kupitia wimbo wake wa Salome akiwa na Rayvanny,Ali Kiba pia ameshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka kutoka Tanzania na wimbo wake wa AJE na Navy Kenzo Wameshinda tuzo ya East Africa Best New Act na wimbo wao wa Kamatia .Tazama Orodha kamili ya washindi wote HAPA

Comments

comments

You may also like ...