Header

Tazama dreads zilivyomtoa chicha Jokate kwenye picha hizi

Jokate Mwengelo ni mtoto mkali, tena sana. Na hasa pale anapopigia mtindo mkali wa nywele lazima awatoe udenda wanaume rijali. Hivi karibuni aliamua kufanya kile staa wa Barbados, Rihanna alivyofanya kwa kuweka dreads ndefu kichwani, and guess what… mtoto Jojo alitoea chicha ile mbaya. Mtazame mrembo huyo kwenye picha zaidi hapo chini.

Comments

comments

You may also like ...