Header

Tazama picha 10 jinsi Ronaldo na Neymar Jr walivyosheherekea ‘Birthday’ zao jana

Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mastaa wakubwa wa mpira wa miguu Duniani,Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo alisheherekea kufikisha miaka 32, huku staa wa Barcelona Neymar Jr akisheherekea kutimiza miaka 25.

Sasa nimepata picha za Mastaa hao jinsi walivyosheherekea siku zao za kuzaliwa hiyo jana Tarehe 5 Februari 2017.

PICHA ZA CRISTIANO RONALDO

Hapa CR7 akiwa kwenye Private Jet akielekea Ibiza kutoka Madrid.

Akiingia ukumbini na Mrembo ambae hata hivyo hajafahamika jina lake.

hapo Ronaldo na mtoto wake pamoja na Mamake mzazi wakikata Keki .

PICHA ZA NEYMARI Jr

Huu ndiyo ukumbi alioutumia Neymar kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.

hapo yupo na babake katikati na Mchumba wake.

Keki na mishumaa maalum kwa ajili ya Neymar Jr

Neymar akiwa na Mtoto wake.

Comments

comments

You may also like ...