Header

Vazi hili la Ommy Dimpoz lawatibua Mashabiki wake

Ommy Dimpoz ni moja ya wasanii wanaotisha sana kwenye masuala ya mavazi na Fashion kiujumla lakini kwa vazi la Kanzu na Cheni hapa bila shaka amechemsha.

Mkali wa Hit ya ‘Kajiandae’Jana aliposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonesha mwenye sura ya furaha kama kawaida yake lakini akiwa amevalia Kanzu na Cheni na kuandika “The smile on my face doesn’t mean my life is perfect.It means I appreciate what I have and what God has blessed me with…❤

Ommy Dimpoz akiwa kwenye vazi la Kanzu na Cheni.

Baada ya hapo ndipo mashabiki wake wakaanza kumjia juu kwa kile walichodai kuwa vazi hilo halitakiwi kuvaliwa na cheni kwani ni vazi la heshima.

Comments

comments

You may also like ...