Header

Haya ndiyo majina aliyochagua Nuh Mziwanda kwa mtoto wake

Nuh Mziwanda ametangaza majina ya mtoto wake ambae anatarajia kumpata hivi soon!! na mama kijacho wake ambapo ametaja majina mawili moja la kike na lingine la kiume itategemea jinsia ya mtoto atakaezaliwa.

Image result for nuh mziwanda na mchumba wake mimba

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika “Mama Travis or Malikah if God wishes,” so kama mtoto atakuwa wakiume ataitwa Travis na kama atakuwa wa kike ataitwa Malikah.

Comments

comments

You may also like ...