Header

Paul Pogba aweka Emoji yake kwenye Viatu

Baada ya kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa soka kupewa emoji na mtandao wa Twitter Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba ameweka emoji hiyo kwenye kiatu chake.
Pogba ambae ameoneshwa kufurahishwa zaidi na kitendo hicho cha kupewa Emoji na mtandao maarufu Duniani ameamua kuhamisha furaha zake kwa kuiweka emoji hiyo kwenye kiatu.

Comments

comments

You may also like ...