Header

Video ya #MarryYou ya Diamond Platnumz Ft Neyo yafikisha Views Milioni 1 na kuweka rekodi hii

Diamond Platnumz anaendelea kuvunja rekodi yake yeye mwenyewe baada ya Video ya Wimbo wake mpya wa Marry You aliomshirikisha NE-YO Kutoka Marekani kufikisha views Milioni 1.

Rekodi aliyoiweka ni ya kuwa msanii wa pili Tanzania kwenye mtandao wa VEVO kuwa na Video iliyotazamwa zaidi ya mara 100 nyuma ya Vanessa Mdee ambae nyimbo zake mbili zimefikisha views zaidi ya Milioni 1.1.

Kumbuka wimbo huu mpya wa Diamond Platnumz upo kwenye akaunti yake Mpya ya VEVO na ndiyo wimbo wake wa kwanza kuuweka kwenye mtandao huo.

Comments

comments

You may also like ...