Header

Y Tony adai aliwahi kuachwa na mwanamke kwa sababu ya kuwa na wivu uliokithiri

Msimu wa Valentine’s unaendelea kutawaliwa na stoty za mapenzi zaidi. Ukiongelea wasanii wanaoongoza kwa ngoma za kulalamikia mapenzi hapa Bongo,Y Tony lazima atatokea kwenye list hiyo.

Msanii huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya Wivu Wangu,ameiambia Dizzim online kuwa mbali tu ya kuimba kuhusu Wivu,hata yeye alishawahi kuachwa kwa sababu ya kuzidisha wivu kwenye mapenzi.

“Nilizidisha wivu nikaonekana msumbufu ilikuwa mwaka 2013,” ameiambia Dizzim Online.

Ameongeza kuwa kibuti hicho alichochezea ndicho kilimfanya akaandika ngoma yake ya kitambo na iliyofanya vizuri, Masebene.

Comments

comments

You may also like ...