Header

‘Natamani kufanya kazi na Keko ili watu watutofautishe’ – Chemical.

Kwenye wasanii wanaotajwa kufanana style ya uchanaji ni pamoja na Rapa kutoka Bongo Chemical na Rapa kutoka Uganda Keko,moja kati ya vitu ambavyo Chemical anatamani vitokee ni kolabo yake na Keko ambayo anaamini itawafanya mashabiki waweze kuwatofautisha.

Rapa Keko

Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM,Rapa Chemical amesema>>‘Natamani kufanya kazi na keko ili watu waweze kututofautisha kuna watu wanahisi me nam-copy kekoo which is not true so i wish tukutane kwenye kolabo moja ndipo watu watafahamu huyu hapa ni Chemical’

Rapa Chemical

‘Kuna kipindi kama Kekoo alikuwa ame sizi kimuziki ikawa kama ha-record, hatoi ngoma tukawa tumemtafuta but she was busy alikuwa anataka kurudi na album yake kwahiyo aliongea na Manager wangu wakafikia sehemu fulani’

‘Tulimtumia hadi nyimbo lakini mwisho wa siku alikuwa ana reply lakin ikaonekana kama she not ready to do hiyo kolabo,inawezekana kama alikuwa anasubiri na mimi nikue kimziki,mi mtu akiona kama hawezi kufanya collabo na Chemical mpaka afikie stage fulani nakuwa naona kama ni kitu ambacho kinazidi kunifanya niwe na hasira ili niweze kufika sehemu fulani na kuja kumui-mpress yule mtu – Chemical.

Stori kubwa za tano za February 09 umezicheki?Tunazo hapa hapa Dizzim Online.

Comments

comments

You may also like ...