Header

Tazama Interview ya Diamond Platnumz na Zari wakielezea 40 ya mtoto wao Nillan

Diamond Platnumz na Zari leo walikuwa na Mahojiano maalum na Clouds FM ya kuelekea 40 ya mtoto wao wa kiume Nillan itakayofanyika Jumamosi hii.

Zari na Diamond Platnumz

Zari ameongelea pia mahusiano yake na Diamond kuhusu kukwazana kama wapenzi,kushikiana simu pia kaonesha uwezo wake wa kucheza tazama video hapa chini.

Comments

comments

You may also like ...