Header

Zari ataja kitu ambacho hawachangii kabisa na Diamond Platnumz

Zari na Diamond Platnumz ni moja kati ya Couple zenye nguvu sana Afrika na hilo halina ubishi hii ni kutokana na ukubwa wa majina yao lakini kuna kitu ambacho huwezi kuamini ambacho wawili hao kwenye mahusiano yao hawachangii kabisa.

Akitaja kitu hicho Zari amesema vitu vingi wanachangia isipokuwa simu tu kila mtu anatumia simu yake na hawachangii kabisa kwani anaamini simu ni kitu cha mtu binafsi na kuna vitu vingi kwenye simu.

Siwezi kushika simu yake ya nini?mimi natumia yangu hata yeye na yake this is private issues vile unajua mimi natongozwa na yeye wasichana wanampenda siwezi kabisa ila nimempa password yangu ya Instagram “Amesema Zari wakati akihojiwa na Clouds FM kwenye Leo Tena.

Zari yupo Tanzania kwa ajili ya 40 ya mtoto wake na Diamond Nillan

 

Comments

comments

You may also like ...