Header

Diamond Platnumz na Zari wameyazungumza mengi ikiwemo ndoa yao.

Leo Feb 09 Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari walikua ni wageni kwenye kipindi cha Leo tena kinachorushwa na Clouds FM,Diamond wameongea mengi kuhusu wao ikiwemo isue za ndoa yao,uhusiano wa Zari na mama yake Diamond na mengine mengi.

Hizi ni baadhi ya nukuu za waliyoyasema wakiwa live kwenye kipindi hicho…

Comments

comments

You may also like ...