Header

Cheusi Dawa itakuwa tofauti na label zote Bongo – Fid Q

Pongezi nyingi sana kwa Fareed Kubanda aka Fid Q baada ya kuanzisha label yake mpya ya Cheusi Dawa ambayo lengo ni kuwasaidia wasanii wengine.

Dizzim Online imemtafuta Fid Q kujua kama anaamini label yake itakuwa tofauti na label zingine kibongobongo.

“Cheusi dawa nahisi itakuwa tofauti na label zote za kibongo kwasababu haichukui tu msanii kwasababu ana talent,pia inaangalia discipline yake na vision zake yeye kama msanii,” amesema Fid Q.

Ameomba ushirikiano kutoka kwa vyombo mbalimbali vya habari ili iweze kufika mbali zaidi. Msikilize zaidi hapo juu akizungumzia label hii.

Comments

comments

You may also like ...