Header

Je SOSUUN Ameshawai Kutongozwa Na Rafiki Ama Mshkaji Wa Karibu Wa KENRAZY ?? Jibu Lake Hili Hapa

Msanii mkali wa kike tokea humu nchini SOSUUN ambaye pia ni mke wa msanii KENRAZY amefunguka kuwa kutongozwa ni kitu cha kawaida kwa mtoto wa kike mrembo ila unavyoepuka ndio Jambo la msingi. Akizungumza na Melody Sinzore, Sosuun ambaye sasa hivi anafanya vizuri na kazi yake mpya ‘Kufunikwa’, alisema haya “wakati mwingine it happens, it always upon u to switch it, u know ukiwa kwa industry wewe ni mrembo,u do ur work men are attracted to someone who’s focused,mwenye anajua kenye anafanya. At times it’s someone close to u lakini sasa hapo as an artiste as a woman u have to know the limits,usijifanye zuzu and am not a crying baby ati Beb leo huyu amenitongoza mara huyu amenitumia texts gani, mimi najua kupiga izi vitu stop maana jinsi utakavyojibeba kwa industry ndio industry itakubeba” alimalizia SOSUUN.

Comments

comments

You may also like ...