Header

PICHA: Tazama 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz na Zari ‘Nillan’ jinsi ilivyofana

Leo ni 40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari, ‘Nillan‘  na ni mara ya kwanza sura yake inaoneshwa kwenye Hafla hiyo iliyofanyika Nyumbani kwa Diamond Platnumz Madale.

Tazama hapa chini Picha za Matukio yote na Jinsi ndugu, Jamaa,Marafiki na mashabiki wake walivyosheherekea tukio hilo.

 

 

Comments

comments

You may also like ...