Header

VIDEO: Rich Mavoko,Rayvanny,Harmonize wazungumzia 40 ya mtoto wa Diamond Platnumz ‘Nillan’

Leo ni siku ambayo kwa wafuatiliaji wa Tasnia ya Muziki hapa nchini hususani mashabiki wa Diamond Platnumz wanajua kwamba ni siku ya 40 ya mtoto wake wa pili ‘NILLAN’ na kwenye Hafla hii Wasanii kutoka WCB-Wasafi yaani Harmonize,Rich Mavoko na Queen Darleen wamezungumza mengi ikiwemo kumpongeza Diamond kwa kupata mtoto wa Kwanza wa Kiume.

Tazama Video hapa chini

Comments

comments

You may also like ...