Header

‘Marry You’ ya Diamond Platnumz na NE-YO yafikisha Views Milioni 2 na kuweka Rekodi hii

Wimbo mpya wa ‘Marry you’ wa Diamond Platnumz aliomshirikisha NE-YO unaendelea kuvunja Rekodi kwenye mtandao wa Vevo na kuufanya kuwa wimbo wa kwanza kuweka rekodi nyingi hapa Afrika Mashariki.

Rekodi ya kwanza ni kwamba ndiyo wimbo ambao umetazamwa zaidi kwenye mtandao wa Vevo kuliko wimbo wowote hapa Tanzania,Rekodi ambayo awali ilikuwa inashikiliwa na wimbo wa No body but me wa Vanessa Mdee.

Rekodi ya pili ndiyo wimbo uliotazamwa zaidi Afrika Mashariki kwenye mtandao wa Vevo kwa muda wote awali pia rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na Vanessa Mdee.

Comments

comments

You may also like ...