Header

Navy Kenzo watoa Ratiba ya ‘Tour’ yao ya Muziki ya Kimataifa

Kundi la Navy Kenzo mwishoni mwa mwaka jana walitangaza kuwa watakuwa na ziara ya Kimuziki ya kimataifa ya Album yao ya ‘AIM’ kwa mwaka huu na tayari Ratiba yao wameshaiweka wazi.

Ziara yao inaanza mwezi huu na Wataanzia huko nchini Israel ndani ya jijini la Tel Aviv Alhamisi hii  kabla ya kuelekea Australia mwezi ujao,Tazama ratiba yao kamili hapa chini

 

Comments

comments

You may also like ...