Header

Keko asema yuko tayari kufanya ngoma na Chemical

Rapper Chemical alisema kuwa anatamani kufanya kazi na rapper kutoka Uganda, Keko ili watu wamtofautishe na yeye kwakuwa watu wengi humfananisha naye. Pia Chemical alisema kuwa Keko ni moja kati ya marapper waliomvutia yeye kuingia kwenye muziki. Na sasa Dizzim Online imemtafuta Keko na kumpa maombi ya Chemical.

“She is an awesome rapper I saw her stuff and I am very humble and if she is listening in to the show I am gonna be coming to Tanzania real soon and I would love to work with her and see where we can take this it’s always a pleasure working with a real fan and I am looking forward to that,” Keko ameiambia Dizzim Online.

Kwenye mahojiano haya pia amezungumzia kuhusu kipindi chake cha TV.

Comments

comments

You may also like ...