Header

MTV Base yataja majina 55 ya Wasanii wakuangaliwa zaidi mwaka huu,Bongo yatoa Wasanii watano

Kituo cha Runinga namba moja cha Burudani Barani Afrika MTV Base kimetaja majina 55 ya wasanii wa muziki yakuangaliwa zaidi kwa mwaka huu wa 2017 na kwenye majina hayo Tanzania imefanikiwa kuingiza majina ya wasanii matano pekee.

Kupitia website yao Majina hayo kutoka Tanzania ni Ben Pol na Wimbo wake Phone aliomshirikisha Mr Eazi kutoka Nigeria,Billnass na wimbo wake Chafu Pozi,Ruby,RayVanny na Harmonize wote kutoka WCB Wasafi na nyimbo zao za Natafuta Kiki na Matatizo.

Majina Mengine kutoka Afrika Mashariki ni Timmy Dat ,Lydia Jazmine kutoka Uganda na Khaligraph Jones kutoka Kenya tazama orodha kamili hapa chini

Comments

comments

You may also like ...