Header

Ben Pol kuachia EP yake mwaka huu

Msanii wa Bongo Fleva Ben Pol ni miongoni mwa Wasanii ambao wameuanza mwaka huu vizuri kwani wimbo wake wa Phone unafanya vizuri sana kwenye Media na kwa sababu hiyo ameamua kuja na zawadi ya EP (Extended Play) kwa mashabiki wake.

Ben Pol kupitia DizzimOnline amesema mwaka huu hana mpango wa kutoa Album badala yake atatoa EP ambayo itakuwa na nyimbo 6 ambazo hajawahi kuzitoa popote pale.Msikilize hapa akizungumzia ujio wa EP na wimbo wake wa Phone

 

Comments

comments

You may also like ...