Header

Diamond Platnumz atoa majibu haya baada ya Tetesi za Q-Chillah kujiunga na WCB-Wasafi

Tangia mwaka huu uanze Kumekuwa na Tetesi kila kona kuwa Msanii wa Bongo Fleva Q-Chillah yupo mbioni kusaini na Lebo ya WCB Wasafi ya kwake Diamond Platnumz.

DizzimOnline imewatafuta Diamond Platnumz na Q-Chillah kuzungumzia tetesi hizo na wote walitoa majibu yao live kwenye Mic zetu kwa kuongelea Tetesi hizo zinazosambaa miataani.Tazama video hapa chini uwasikilize

Comments

comments

You may also like ...