Header

DOCUMENTARY:Tarehe kama ya leo Mwaka 2016 Taylor Swift anakuwa Mwanamke wa Kwanza kuchukua tuzo ya Grammy kwenye kipengele cha ‘Album Bora ya Mwaka’

Katika historia Tarehe kama ya leo mwaka 2016 msanii kutoka Marekani Taylor Swift anakuwa Mwanamke wa kwanza kuchukua tuzo ya Album Bora ya mwaka kwenye Tuzo za Grammy,kisha anamtolea maneno ya dharau rapa Kanye West jukwaani kwa kile alichodai kuwa alishawahi kumdiss kwenye Wimbo wake wa ‘famous’.Tazama video hapa chini

Comments

comments

You may also like ...