Header

Huku ndiko alikotoka Rayvanny wa WCB

Ukimtaja Raymond aka Rayvanny, basi unamtaja msanii wa Bongo Fleva ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kupitia Label ya WCB. Inawezekana wengi bado hatufahamu haswa ni wapi alikotoka Rayvanny kimuziki. Leo Dizzim Online tunakuletea ngoma ya msanii Starboy Classic iitwayo Utaniua iliyotoka mwaka 2013. Ni ngoma ambayo imeacha historia kubwa sana jijini Mbeya alikozaliwa Raymond.

Ukali wa ngoma hii umebebwa na vitu vingi sana,lakini cha kipekee ni chorus aliyoifanya Rayvanny,ambayo aliwataja baadhi ya mastaa wakubwa ambao walikuwa kwenye mahusiano Wakati Ule.

Isikilize Hapa.

Pia tumepiga story na mmiliki wa ngoma hiyo,Starboy ambaye kwa sasa amepelekwa Twanga Pepeta na Mkubwa Fella baada ya kukaa Salaam TMK kwa muda mrefu.

Comments

comments

You may also like ...