Header

Nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ awabeza Ngaya FC ataka kukutana na Timu hii

Young Africans SC captain Nadir Haroub reacts during their CECAFA-Kagame Club tournament quarter finals match against Azam FC at the National Stadium in Dar es Salaam on July 29, 2015. Azam FC won 5-3 on penalties. Photo/Stafford Ondego/www.pic-centre.com/CECAFA. (TANZANIA)

Baada ya Ushindi wa Goli 5-1 dhidi ya Ngaya FC,Nahodha wa Klabu ya Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewabeza wa’comoro hao kwa kuwaita ni wepesi na kutamani kukutana na Timu nyingine ngumu zaidi.

Cannavaro amesema Ngaya FC ni timu ndogo sana na hatujaona changamoto yoyote hivyo anaombea hatua inayofuata wakutane na Klabu ya APR ya Rwanda kwani anamatumaini mechi itakuwa ni nzuri sana.

Unajua Yanga ni timu kubwa iliyopanga kufika mbali msimu huu kwahiyo ili kufanya vizuri ni lazima kukutana na timu zenye ushindani ili kupata changamoto sasa hawa Ngaya FC naona bado hawana changamoto zozote zile na naombea tu hatua inayofuata tukutane na Timu kama APR“Amesema Nadir Haroub ‘Canavaro’

Comments

comments

You may also like ...