Header

“Nishawahi kufikiria kufanya Nyimbo na Diamond”- Baraka The Prince

Msanii kutoka Lebo ya Rock Star 4000 Baraka The Prince ambae anafanya vizuri sana na wimbo wake wa Nisamehe ambao amemshirikisha Ali Kiba amesema yupo tayari kufanya kazi na Diamond Platnumz.

Akizungumza na DizzimOnline Radio Baraka The Prince amesema moja ya wasanii ambao anaowafikiria kufanya nao kazi ni Diamond Platnumz na kama siku moja uongozi wake na wa Diamond utakubaliana basi atakuwa ametimiza Lengo lake.Tazama hapa chini akizungumza

Comments

comments

You may also like ...