Header

Mipango ya Navykenzo ilikua kuwashirikisha Sauti sol iliposhindikana wakamchukua Alikiba..

Kundi la Navykenzo wamesema kuwa wimbo wao mpya unaoitwa lini mipango yao mwanzoni haikua kumshirikisha Alikiba lakini hiyo ilikuja baada ya watu waliokuwa wanawafikiria mwanzo kushindwa kushiriki.

Aika kupitia XXL ya Clouds FM amesema>> ‘Huu wimbo tulishawatumia Sauti sol kufanya nao collaboration sijui ikawaje nadhani labda walichukulia poa,sikumbuki vizuri iliishia wapi ile stori lakini nakumbuka walitumiwa ule wimbo ili waufanyie kazi’

‘Baadae baada ya kuona wamechelewa tukaona huu ni wimbo wetu,tukampa Alikiba na Alikiba aliupenda alipokuja studio hakutusumbua nakumbuka alikuja mpaka club kutusapoti siku ya tour yetu ilipoanza’

Sauti sol hawana shida kwakweli ni washkaji zetu lakini watu wanaweza wasijue,kuna siku tunajua tutakuja kufanya nao wimbo hawana shida kabisa ni muda tu tunaamini haujafika,hata tulipoenda Nairobi ilikua tukutane nao lakini ratiba yetu haikuturuhusu tu’.

Hivi unajua alikotoka Rayvanny wa WCB?hebu cheki hapa.

Comments

comments

You may also like ...