Header

Tazama picha za Mastaa mbalimbali walivyosherehekea Valentine’s Day na watu wao wa karibu

Jana ilikuwa ni siku ya wapendanao Duniani maarufu kama Valentine’s Day na kila mmoja kuna namna alivyosheherekea siku hiyo kuna wengine walikuwa na wapenzi wao,wapo wengine walikuwa na familia zao na wapo pia waliosheherekea kwa kuwatembelea watoto yatima.

Hapa chini nimekuwekea Picha 10 za Mastaa wa Muziki jinsi walivyosheherekea siku hiyo ya wapendanao

DJ Khaled na Familia yake

            Tiwa Savage na Mtoto wake

Akon aliposti picha hii kwenye Valentine’s day jana

            ROMA na Mke wake

 

             Aunty Ezekiel na Familia yake.

Comments

comments

You may also like ...