Header

Je Hii Mistari Ya KING KAKA Katika Wimbo Wake MUZIKI MAJANGA Refix ilikuwa Dogo Kwa JAGUAR ??

Wiki chache zilizopita Msanii mkali wa humu nchini KING KAKA aliachia diss track ‘Muziki Majanga’ refix akiwa ameshirikiana na mkali kutoka Pwani DOGO RICHIE.

Katika wimbo huo, King Kaka anasikika akiwaponda wasanii mbali mbali wa humu nchini ila kwa mifumbo, Mistari moja mle ndani anasema “Msanii F ameandika barua aone Rais awache kutupima yeye hushinda na Rais” wengi wanadai hii ni Dogo kwa JAGUAR maana mwaka wa elfu mbili kumi na tano, JAGUAR aliungana na SUDI BOY wakaachia kazi ‘Barua Kwa Rais’.

Comments

comments

You may also like ...