Header

Kocha wa African Lyon Charles Otieno aionya Simba ‘Mwendo ni ule ule’

Kocha wa African Lyon ameionya Klabu ya Simba kuwa wasipokuwa makini kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho (ASFC) watapata kipigo kama walichokutana nacho kwenye mchezo wao wa Ligi kuu raundi ya Kwanza mchezo ambao Simba walilala kwa bao 1-0.

Akizungumza na DizzimOnline Otieno amesema kuwa Simba ni timu kubwa na wanaiheshimu ila watapambana ili kupata matokeo kwani kwenye mpira kila kitu kinawezekana.

“Tunarekodi nzuri kwani mchezo wetu wa mwisho dhidi yao tulipata ushindi na hata leo tutapambana kuendeleza mwendo wetu ule ule wa kuhakikisha tunapata matokeo”Amesema Charles Otieno

Comments

comments

You may also like ...