Header

Pogba uso kwa uso na Kaka yake leo kwenye Usiku wa EUROPA

Kiungo mchezeshaji wa Klabu ya Manchester United Paul Pogba leo usiku atakutana uso kwa uso na kaka yake Florentin Pogba anaekipiga kunako klabu ya Saint Etienne ya Ufaransa kwenye mchezo wa EUROPA.

Image result for paul pogba and florentina pogba

                Paul Pogba na kaka yake Florentin Pogba

Manchester United itavaana na Saint Etienne kwenye mchezo wa hatua ya Makundi ya Europa ambapo kwenye mchezo huo watu wengi watavutiwa kwa kuwaona ndugu wa Tumbo moja wakikabana.

Nikimnukuu kocha mkuu wa Manchester United Jose Mourinho amesema “Mbali na mchezo wa leo tutafurahi zaidi pale akina Pogba watakavyo kutana kwani najua Mama Pogba atafurahi sana kutazama vijana wake wakishindana uwanjani bila shaka hii ni mechi ya kuvutia zaidi” Mwisho wa kunukuu.

Comments

comments

You may also like ...