Header

Miley Cyrus ampa shavu nono Wizkid

Msanii kutoka Nigeria Wizkid bado anaendelea kupata mashavu kutoka kwa Wasanii wakubwa kabisa Duniani kwani mwaka jana tuliona Kolabo zake kubwa mbili alizofanya na Chris Brown na Drake.

Habari nyingine nzuri ni kwamba Wizkid amepata Shavu lingine la kushirikishwa  kwenye Album ijayo ya Mrembo Miley Cyrus na Tayari Album hiyo ipo mbioni kukamilika.

Miley Cyrus ni Msanii mkubwa sana Marekani na umaarufu wake ameupata kwenye Filamu ya Big Fish na vimbwanga vyake anavyofanya anapokuwa Stejini pamoja kiki za kuhusisha kwenye Movie Nyeusi (x).

StarBoy Wizkid tayari amefanya kazi kwenye Album kibao zijazo za Wasanii kama French Montana,Alicia Keys,Swizz Beatz,Trey Songz,Major Laizer,R-Kelly na wengine kibao.

 

Comments

comments

You may also like ...