Header

Tazama Picha/Video za Mastaa wa Bongo walivyotokelezea kwenye Red Carpet ya Usiku wa Love Melodies and Lights (LML)

Jana usiku kulikuwa na Tamasha la Usiku wa Love Melodies & Lights (LML) lililofanyika Leaders Club jijini Dar es salaam na hapa tumekuletea Picha na Videos za Wasanii na watu Maarufu walivyotokelezea kwenye Zuria Jekundu (Red Carpet) na baadhi ya picha za kwenye Jukwaa la LML ambapo wasanii watatu Baraka The Prince,Ben Pol na Jux walikuwa wakitumbuiza huku MC Pilipili akiwa mshehereshaji wa Tamasha hilo.Enjoy!!

Bushoke kwenye Red Carpet ya LML nae alikuwepo.

Feza Kessy nae alipita kwenye Red Carpet ya LML

MC Pilipili akivunja watu mbavu jukwaani.

Jux na Baraka The Prince wakitumbuiza jukwaani

Kutoka Bongo Movies Yusuph Mlela nae alikuwepo.

Irene Uwoya nae alikuwepo kusindikiza usiku wa LML

Comments

comments

You may also like ...