Header

Alichokiandika Professor Jay baada ya Freeman Mbowe kuachiwa na Polisi usiku wa manane

Msanii mkongwe wa Hip Hop na Mbunge wa Mikumi  Joseph Haule maarufu kwa jina la Professor Jay ameguswa na tukio la kukamatwa kwa kiongozi mkuu wa chama cha CHADEMA Freeman Mbowe kwa tuhuma za kujihusisha na Madawa ya kulevya.

Freeman Mbowe ambae ameachiwa huru usiku wa manane jana baada ya kukamilika kwa mahijiano marefu na jeshi la polisi,Kumerudisha furaha ya Professor Jay na kusema kuwa kila kitu kinakuwa na mwisho.

Kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe wa faraja kwa kusema haya nayo yataisha “This too shall PASS” na kisha kuweka picha ya kiongozi wa chama chake cha CHADEMA .

This too shall PASS.. @freemanmbowetz

A post shared by Professor Jay (@professorjaytz) on

 

Comments

comments

You may also like ...