Header

Tazama Picha za Wiz khalifa na Amber Rose walivyosherehekea ‘Birthday’ ya mtoto wao Sebastian

Usiku wa kuamkia jana Februari 21 ilikuwa ni Birthday ya Mtoto wa Rapa Wiz Khalifa na Amber Rose ‘Sebastian’ kutimiza miaka 4 na kwenye sherehe hiyo wawili hao walitumia muda huo vizuri kwa kukutana kwani walishatengana muda mrefu.

Tazama wawili hao walivyofurahia siku hiyo na mtoto wao Sebastiani.

 Sebastian

Comments

comments

You may also like ...