Header

Irene Uwoya ajibu tetesi za kutoka kimapenzi na Dogo Janja ‘namuona kama mwanangu siwezi kuwa naye’

Malkia wa Bongo Movie Irene Uwoya amesafisha hewa baada ya kuenea kwa tetesi kuwa anatoka kimapenzi na rapa Dogo janja na kudai hajawahi kufikiria vitu hivyo.

Irene Uwoya kupitia kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa mubashara kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV amesema anamheshimu sana Dogo Janja na anamchukulia kama mtoto wake.

Dogo Janja namuheshimu sana kama msanii wala sitoki naye, namuona kama mwanangu,siwezi kuwa naye kimahusiano“Irene Uwoya Alijibu moja ya swali aliloulizwa na baadhi ya wadau kwenye kipindi hicho.

Comments

comments

You may also like ...